16 comentarios en “Klop aumia Sadio Mane kuifungia goli klabu yake mpya ya Bayern Munich kisa hiki,asema hadharani

  1. Kilapilo. Kilapilo

    Hawa viongozi wa juu wa Liverpool watakaa wajute milele kwa kumwacha Sadio Mane aende Bayern Munich.(Huyu Sadio Mane ni mtu na nusuu, kwani hata huyo Mo Salah mwenyewe hafikii ubora wa huyu mtu mweusi)! Enewei, muda utaongea tuuu.

Los comentarios están cerrados.